Jeremiah 52:28-30

28 aHii ndiyo hesabu ya watu ambao Nebukadneza aliwachukua kwenda uhamishoni:

katika mwaka wa saba,
Wayahudi 3,023;
29katika mwaka wa kumi na nane wa utawala wa Nebukadneza,
watu 832 kutoka Yerusalemu;
30 bkatika mwaka wa ishirini na tatu wa utawala wake,
Wayahudi 745 walichukuliwa kwenda uhamishoni na Nebuzaradani jemadari wa askari walinzi wa mfalme.
Jumla ya watu wote walikuwa 4,600.
Copyright information for SwhNEN